Lyrics
Maproso ft. Suzanna Owiyo – Wakadinali
…
…………(beat)
Na kwani mi najuta balaa Gani iliyonikumba Mimi
nilikuwa naye mchumba wangu aliyeitwa maproso
nilimuahidi ndoa ya kifahari ,mapumziko yetu yangekuweko mombasa
kama ni manyumba na magari mi ningempa ila siku ya harusi maproso kanitoroka
kaniibia hela na vifaa vyenye dhamana
nikapigwa butwaa moto ukanifunguka
Ooh maproso mbona umeamua kunifanya hivi mama?
Mbona umeamua kuniua mi mapema,?
Nilikupenda sana moyoni wewe wajua nikapigwa butwaa moyoni ukanifunguka aa…
Ooh maproso mbona umeamua kunifanya hivi mama?
Mbona umeamua kuniua mi mapema?
Nilikupenda sana moyoni wewe wajua nikapigwa butwaa moyoni ukanifunguka aaa…
Hera okwar Koko,Hera okwar chaye
Hera dwaro kueye ×2
Hera okwar Koko,Hera okwar chaye
Hera dwaro kueye×2
Yoh,kesho itakam na nini? ..Now that uliniachia
mkidi,nilijuaga we ni mdhigidhi but sikudhani itawai kuwa hivi
Mkono stingy haijawai kuwa Mimi,najua spendagi
vipindi
kwa kikao ni vitimbi na ulikuwa ukiitwa hauitiki
In the beginning God created Eve to deceive me
companion sipingi
na Kaa ni bills ni dingli,paybill yako si Mimi
na ujiekee hizo risiti