Ssaru Ft. Trio Mio – Maintain

ad

MAINTAIN (IVO IVO)

 

Leo ni jumamosi saa ni sita Imefika ile siku ya kukubali mi ni cheater

Nimeamkia supu na kindukulu nashuku mausiku Kama kawa ni maform zijipa

 

Wapi kunashika casavera ama quiver

Naeza piga zangu timber ndio nisunde shada shida nikifika staki mtu aniambie niteme jaba

niko na ubad na ughetto bado inanitatiza

 

Naeza Sema zi mpaka zi mpaka zi

Leo ni party sijakuja wizi

Kamkoba kaupiga tizi na ndizi take it easy

 

Party si party ka bado mi sipaticipate

Shots one two naeza penda kujimarinate

Sabi girl naughty girl hapana kujivalidate

Msupa hapana choma bet we uko sawa

 

maintain Ivo ivo ah Weh ivo ivo

Maintain ivo ivo usilewe sana ivo ivo

Ah we ivo ivo usilewe sana ivo ivo

Maintain ivo ivo usichome sana ivo ivo

 

Mmmh ah ivo ivo

Usisonge sana ivo ivo

Hiyo position hiyo ndo tempo hiyo ndo ivo ivo

Ah we usioverdo maintain si utanivunja mguu

Mpoa Ni aggressive anaileta na Fujo naona Imeanza kuwa ni vita vile unaumiza burungo

Hebu ah moshi mbili ukuwe mpole

Leo tuna stone ka maandamano za comrades

You get it? Kama bado achana nayo tunatax team huku naitwaga zakayo

 

maintain Ivo ivo ah Weh ivo ivo

Maintain ivo ivo usilewe sana ivo ivo

Ah we ivo ivo usilewe sana ivo ivo

Maintain ivo ivo usichome sana ivo ivo

ad