Otile Brown – AFRICA

ad

Lyrics
Africa – Otile Brown

Africa

Woo

Reset reset

Hivi kwani, ngozi nyeusi tu mela aniwa

So they say (so they say)

Madhaifu yangu asili yangu

Adui yangu rangi yangu

Africa

Chanzo na sababo ya matatizo yangu

Ona, viongozi wanaendekeza umaskini

Wana endekeza njaa

Hawataki kutuwezesha, ndio waweze kutuendesha

Ubinafsi ulafi ukabila

Ndio ulemavu wa africa

Kila kucha mikopo nchi inauzwa

Pesa wanakula wanamaliza

Africa, nani ka kuroga we africa

My mother land africa

Africa, nani ka kuroga we africa

Uuh my mother land

Resetting we need a recessing

Setting we need a recessing button

Resetting we need a recessing

Setting we need a rеcessing button

Resetting wе need a recessing

Setting we need a recessing button

Nimejifunza mzungu wala sio adui kamwe

Ni rangi yangu ndio isiyotaka niendele

Ona wawekezali wananyimwa vibali kisa ufisadi

Wakati a walio hitimu jana wako mtaani hawana kazi

Mambo hayaja fana

Sasa kijana anajiuliza, hivi nisome taluma gani

Wakato madakitari wamegoma uku

Walimu nao wamegoma shule

Airport nayo inauzwa kule

Masomo yamekosa maana

Mwisho na ona niende uarabuni ni ka hustle

(…)

Dunia haiwezi ku kupenda africa

Kama haujiheshimu africa

Dunia haiwezi kukuheshimu africa

Kama haujithamini

Dunia haiwezi kuku thamini wewe

I’m just saying

Africa, nani ka kuroga we africa

Uuh my mother land

Africa, nani ka kuroga we africa

Uuh my mother land

Resetting we need a recessing

Setting we need a recessing button

Resetting we need a recessing

Setting we need a recessing button

ad