Lyrics
TOTORIMI (Lyrics)
INTRO
Ke bana ba
S2kizzy baby
Aah…Uuuh eeeh
The African Princess …….
VERSE:1 (Nandy)
Tulianza zamani, Bugana tena tukapenda na yeye
Tulianza zamani, utoto ujana kugombana kupata nae
Akili nazo zimeshapoteana, sijiwezi mazima mi kwake nyang’anyanga
Nikimuona joto majasho kulowana
Nadata mazima mimi mtoto wa mama
BRIDGE
Yananoga mapenzi mapenzi
Ni matamu mapenzi mapemzi
Mi moyo wangu titititi tititi
Walimwengu hawapendi hawapendi
Washasemaga mengi ooh mengi
Eti naweza kukucheat kukucheat
CHORUS
Aaaah aaaah my totorimi ooh totorimi “totorimi”
Aaaaah aaah my totorimi ooh totorimi “totorimi”
Aaaah aaaah my totorimi ooh totorimi “totorimi”
Aaaaah aaah my totorimi ooh totorimi “totorimi”
VERSE: 2 (Billnass)
Nachokupendea wewe hujiskii
Hata Na maneno yao huyasikii
Au mimi siko sawa
Maneno hayapunguzi power
Watamaliza waganga na Manabii
Hata wakupe madawa hawakufiki
Au mimi siko sawa
Maneno yao hayapunguzi power
Narudi na hii tena
Nikiachana na wewe mapenzi sirudii tena
Wengine hawanitakii mema
Story za uongo,madrama na macinema
Hapeni pesa, hapeni show ananipenda tu
Iwe chumbani ama jikoni ni mahaba full
Nikisema i love you anasema i love you too
Na ndo mana
BRIDGE
Yananoga mapenzi mapenzi
Ni matamu mapenzi mapemzi
Mi moyo wangu titititi tititi
Walimwengu hawapendi “hawapendi”
Washasemaga mengi ooh mengi
Eti napenda Kwichikwichi “Kwichikwichi”
CHORUS
Aaaah aaaah my totorimi ooh totorimi “totorimi”
Aaaaah aaah my totorimi ooh totorimi “totorimi”
Aaaah aaaah my totorimi ooh totorimi “totorimi”
Aaaaah aaah my totorimi ooh totorimi “totorimi”
BRIDGE
Yananoga mapenzi mapenzi
Ni matamu mapenzi mapemzi
Mi moyo wangu titititi tititi
Walimwengu hawapendi “hawapendi”
Washasemaga mengi ooh mengi
Eti naweza kukucheat “kukucheat”