Lyrics
Jitu ft. Khaligraph Jones & Savara – Nyashinski
…
big man kwao mi ni_
yeah
(verse1: Nyashinski)
Big man kwao mi ni jitu niki-reminisce kwao najisifu
wako cut from cloth Iko see through
Naona weakness Yao huwanga wivu
So naburn bridge Yao naacha jivu
Back to back hits
Melodies ,raps, number one on your list
No apologies, facts, I’m back on my shit
Nikitake break unaona vile game inanimiss
Nani anaeza brag hii design bila kuexaggerate
Zao tu ni rhyme najua hawarelate
Hakuna ule anakeep up na hii pace
Just keep in mind hakunanga debate
ya biidi na time nina_dedicate
Slim lakini my account heavyweight
Ukinimeet nakaanga na levitate
Medicate alafu na meditate
Mi bado wananirank
Hewa safi mahali najificha, usisahau mitaa ni za ki-punk
Unatakaje bana, hio ni petty cash ,usione rap haijazi bank
Price ya C class kwa mpesa, na sub woofer ndani ya trunk
Kwanini time ikifika wale husema wanajiweza hawaezangi tokea
Huamini vile unapitwa ni ka umesimama, uzee hauwezangi ngojea
Natoka mahali mali hupotea, heshma lazima usiwahi jikisea
Amini sikuwa nalala, nilikuwa nalima ndo maana hauwezangi compare
Ni mlango gani wakitinga uko sure siwezi fungua na jina, si ukam uni_dare
Haungeniskizan kama singeifanya vile nilisema si ushajuonea
Kaa niko Kuna marashi kwa air
Hii loud unatupa sana ni ka natangaza haimati wapi naichomea, juu ni maksudi sitajitetea
Shoot for maziwa ni ka delamere
Obituary sema ulikuwa millionaire
Of which wakicheki ni kazi inaongea
Kichwa ni heavy juu crown Iko there ,mmh
Si Kuna break mi naingia ku_prepare
Hii kitu utai_take hakuna mtu hukupea
Na hakuna lift ni stairs
(Chorus 🙂
Big man kwao mi ni jitu , money talks na ni Sanifu
Ndo ujue nani ma_baller, you should know people
Unatembea Kila mahali na kisu , omba usikutane na pistol
Ndo ujue nani wakora , you should know people
big man kwao mi ni _
(Verse 2: khaligraph )
Jitu ,wameswitch plans zao juu ni bitch moves
Niko na hitman mtaa akona pistol
Keep you distance (paow),we gon’ get you
Tunapiga p’s Shang Tao na mamchinku
Ukidiss Maumau ni mavitu
Zinakudunga skin i-turn brown kama measles
Told you big man kwao mi ni jitu
Mama told me keep that crown coz it fits you
I only perform when I want to, show Niki_rehearse hio ni contract ya corporate (facts)
These niggas wanna ride on your dick for some clout ndo wakuache na cancer ya prostate
Negative talks hunichomei picha,
Omollo bado ndo ako kwa portrait
IQ high na philosophy ya BC,sarakasi
Some I was Socrates
Been through a lot in my life,hater akinitemea mate ni fine (woo)
Mnanidiscuss, nani alisema kutafutia watoi mkate ni crime (yeaah)
Mnaniblame nikiringa na mnanitumia wasanii ratchet ni_sign (kwenda )
Ain’t no thing such as halfway dope
Shit tell ’em hii ni perfect design
Siku hizi ukona nimeshiba ni afya
Niko mafutani ni ka nalipwa na Russia
Usicatch feelings juu ni mi ndo wanacrushia
Chanuka bro usikuwe ka peter salasya
Been a nutcase since the foetus
Lullaby songs mom’s played me Ether
First nickname man’s called me the Reaper
shin wagwan breda pass me the reefer
Slice a nigga up like pizza
Tell me if you know a rapper who can keep up
Keep it a buck,no let’s keep it a mita
Phone ikiring only pick up Nikita
Kana ka sitaki sitaki
si ndo mbogi hupiga khaki na toughees
Look sijali ka ni safi au si safi
Look as Niko na kitu attractive kwa parking
The street love the heat so they coppin’ it
I feel like a beast in an orphanage
Aiming this D in your oesophagus
Fuck what you think I’m Black??in metropolis
How you gon’ settle for average
The code has been cracked l unravelled it
Crafted this gift to perfection
The aura got y’all niggas doing the Kaepernick
l was an OG way before the IG
We uliingia IG before the OG
Saa hii IG ni ka haikusaidii
Unahide ID ukipost emojis
Now the bets are off
Unajipata nataani juu hauombi Mungu
Naeza kuwa mjinga according to you but
Unajua nyani haioni_
(Chorus:)
big man kwao mi ni jitu, money talks na ni Sanifu
Ndo ujue nani ma_baller, you should know people
Unatembea Kila mahali na kisu,omba usikuwe na pistol
Ndo ujue nani wakora,you should know people
Big man kwao mi ni _
(verse 3:Savara)
Respect si_negotiate utanipa na si tafadhali
Pull up in a foreign unanusa foreign wanajua Mimi ni nanii
Ladies wanataka tattoo,by round 2 jitu,talk is cheap na sikuwangi cheap time yangu ma he_
Respect si_negotiate utanipa na si tafadhali
pull up in a foreign unanusa foreign wanajua Mimi ni nanii
Ladies wanataka tattoo,by round 2 jitu, talk is cheap na sikuwangi cheap time yangu ma he_