D Voice feat Zuchu – Nani

ad

Lyrics
Nani – D Voice

Aai..Pablo (Mr Lg)

Ai sweetie..

Kuna kitu mi nataka nikuambie..

lakini naogopa..

utaniona ka nina wivu hivi..

Oooh sweetie..

nikunong’oneze wa pembeni wasisikie..

maana naogopa..

wataniona ka nina wivu hivi..

Asa sijui ndio ujinga..

Sijui ndo ufala..

Au sijui mazoea..

ila napata tabu ukiwa mbali maa..

Maana nashindwa..

Kula hata kulala..

Mnyonge nanyong’onyea..

Mwenzio napata tabu ukiwa mbali maa..

Honey kwako mi chizi poyoyo

Usiende mbali Nami, we ndio tulizo la moyo (x2)

Ooh na kama sio wewe (Nani)..

Wa kuniliwaza (Nani)..

Kunibembeleza (Nani)..

Wa kunipepea nilale (Nani)..

Instrumentals…

Mhhhh..

Zuuh Chu chu chu..

Kuna venye husema..

Unaniteka na kuwa chakaram..

Hii inaitwaje kitaalam..

Ukitajwa kimoyo ni paaah..

Why why why why Tam..

Mshwiti Mshwiti bubble gum (bubble gum)..

Yani yam yam yam yam yam..

Ndo mapenzi au ufalaa..

Why why why..

kwanza yote tisa kumi..

moyo umeuhamisha kambi..

Kanipa penzi sabuni..

Lanitakatisha dhambi..

wanasubiri livunjike penzi hili..

hatutishwi na tumbili..

kuachana apende mwenyezi..

Honey kwako mi chizi poyoyo

Usiende mbali we ndo tulizo la moyo (2x)

Na kama si wewe (Nani)..

wa kuniliwaza (Nani)..

Kunibembeleza (Nani)..

Wa kunipepea nilale (Nani)..

Na kama si wewe (Nani)..

Na kama si weweeeee (Nani)..

Naani Nani

Wa kunidekeza..

Instrumentals..

kamix laizer…

(Lyrics by Mpiri Jr)….

D Voice feat Zuchu – Nani Mp3 Download

ad