Busy – Nyashinski

Busy – Nyashinski

nazile tanga vile una taka nizi bring

ni mi dam

govoner wa shincity

while youve been gossioing ive been busy

netowrk iko high ka sauti ya kindiki

ma show ziko high hatuezi susu na didi

wana sue haina issue no biggi

big shoes toto kuzi feel sio easy

i made millonares wakakua greedy

wana jaa excess waka shindwq kuistiri

kama stiper….hao mafisi

industry mzima hutry ku move kqma sisi

ona tuki move wana ingiza baridi

silver kwa wingi si n wanjiki

wame jqribu kua haribu jina ime kataa

na washinda na akili na chapa

choka na story zao za kijinga

kuja mahali kuna wq brown ka kabinga

na ziletanga vile una taka nizi bring

niko busy na kuget what you want

wako ichi wana try kuingia kwa mix

busy nq ku get what you want

niko busy…… namba zote busy

busy sana busy…..busy nakuget what you want