Lyrics
Cherie – Bahati
…
nakumbuka tulipokula shida nawe , enzi zile kwenye jiji mamaa, tukiteseka kule ,rongai, nahadi sasa ,awaamini tunapendana nawe, ona vile tunafanana nawe, baby let’s enjoy,, ,,, (×2)
cherrie wangu mamaa, cherrie wangu wangu baby, nakupeleke mamaa, wakujue kwetu we ndio baby, ,,,,(×2) aii
nakumbuka tulipolala chini nawe, siturungi ndio chai mamaa, bila sukari, walaiii, lakini sasa, nimepata jina na pesa ee, utakunywa nini ninunue, baby let’s enjoy, ,,,,,,
nakumbuka tulipolala chini nawe, siturungi ndio chai mamaa, bila sukari, walaiii, lakini sasa, nimepata jina na pesa ee, utakunywa nini ninunue, you’re my ride or die,,,,,,,,
cherrie wangu mamaa, cherrie wangu wangu baby, nakupeleke mamaa, wakujue kwetu we ndio baby,, ,, (×2) aii